Friday 14 March 2014

Picha za Maadhimisho ya Siku ya Haki za Mlaji jijini Tanga

Mwananfunzi wa Shule ya Sekondari alichangia mada katika mdahalo wa wazi wa Haki ya Mlaji, Jijini Tanga, Machi 13, 2014

Mwananfunzi Michael R.Mponji, wa Shule ya Sekondari alichangia mada katika mdahalo wa wazi wa Haki ya Mlaji, Jijini Tanga, Machi 13, 2014
Mwananfunzi wa Shule ya Sekondari alichangia mada katika mdahalo wa wazi wa Haki ya Mlaji, Jijini Tanga, Machi 13, 2014
Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa FCC, Frank Mdimi (kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu hoja zilizojitokeza wakati wa mdahalo wa wazi wa kuadhimisha Siku ya Haki za Mlaji Kitaifa, jijini Tanga, Machi 13, 2014.
 Afisa Mwandamizi wa Utetezi wa Mlaji wa FCC, Joshua Msoma, akiwapatia maelezo na vipeperushi wanafunzi walipotembelea Banda la FCC, Machi 13, 2014
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri kwa Watumiaji wa Huduma Zinazodhbitiwa na EWURA, Mhandisi Goodluck Mmari, akifafanua jambo wakati wa mdahalo wa wazi katika viwanja vya Tropikana Mabawa, Tanga, Machi 13, 2014.
 Viongozi wa Serikali ya Mtaa, Eneo la Tropikana, Mabawa wakipata maelezo kuhusu shughuli za FCC kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Tume hiyo, Frank Mdimi (kulia) walipotembelea banda hilo, Machi 14, 2014.
 Wakazi wa Jiji la Tanga wakipata maelezo kuhusu shughuli za FCC kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Tume hiyo, Frank Mdimi (kushoto) walipotembelea banda hilo, Machi 14, 2014.

No comments:

Post a Comment