Thursday 13 March 2014

Picha za Kuanza kwa Maonesho ya Haki za Mlaji, Viwanja vya Tropikana, jijini Tanga, Machi, 2014

DJ Sanga kutoka Lamuliki Music Systems akipangilia miziki kuwaburudisha wananchi katika Maonesho ya Haki za Mlaji katika viwanja vya Tropicana, Mabawa, Jijini  Tanga
Joshua Msoma, Afisa Mwandamizi wa Utetezi wa Mlaji, akiweka banda sawa wakati wa maonesho ya Haki za Mlaji, Viwanja vya Tropikana, Mabawa Tanga, tarehe 12 Machi, 2014 
Wanafunzi na wananchi wa Jiji la Tanga wakipata elimu katika Banda la FCC na Mabanda Mengine wakati wa Maonesho ya Haki za Mlaji katika viwanja vya Tropicana, Mabawa, Jijini  Tanga, Machi 12, 2014.

 
Wanafunzi wa Chuo cha Biashara cha Mtakatifu Joseph cha jijini Tanga, wakipata elimu katika Banda la SUMATRA wakati wa Maonesho ya Haki za Mlaji katika viwanja vya Tropicana, Mabawa, Jijini  Tanga, Machi 12, 2014.

Wanafunzi wa Chuo cha Biashara cha Mtakatifu Joseph cha jijini Tanga, wakipata elimu katika banda la Tume ya Ushindani wakati wa Maonesho ya Haki za Mlaji katika viwanja vya Tropicana, Mabawa, Jijini  Tanga, Machi 12, 2014.
 Wanafunzi wa Chuo cha Biashara cha Mtakatifu Joseph cha jijini Tanga, wakisikiliza maelezo kuhusu shughuli za Tume ya Ushindani kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Tume, Bw. Frank Mdimi, wakati wa Maonesho ya Haki za Mlaji katika viwanja vya Tropicana, Mabawa, Jijini  Tanga, Machi 12, 2014. 

No comments:

Post a Comment