Saturday 15 March 2014

Kilele cha Maahimisho ya Siku ya Haki za Mlaji Kitaifa, Tanga Machi 15, 2014

Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Halima Dendegu, akiwahutubia wananchi wa Mkoa wa Tanga katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, iliyoadhimiwshwa kitaifa katika Viwanja vya Tropikana, Mabawa, Machi 15, 2014
 Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Halima Dendegu, akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa Utetezi wa Mlaji, Utukufu Kyando, katika banda la Tume ya Ushindani katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, iliyoadhimiwshwa kitaifa katika Viwanja vya Tropikana, Mabawa, Machi 15, 2014

 Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Halima Dendegu, akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Baraza la Ushauri kwa Walaji wa Huduma zinazosimamiwa na Mamlaka ya Anga (TCAA-CCC) Bibi Catherine Monarya, kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, iliyoadhimiwshwa kitaifa katika Viwanja vya Tropikana, Mabawa, Machi 15, 2014
 Afisa Mwandamizi, mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa FCC, Frank S. Mdimi (kushoto) akiwaelimisha wananchi wa Mkoa wa Tanga waliofika kutembelea banda la Tume, kuhusu shughuli za Tume hiyo, tarehe 15 Machi, 2014.

  Mgeni Rasmi katika ufungaji wa maadhimisho ya Siku ya Mlaji Duniani, Kitaifa, Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Halima Dendegu (wa pili hulia) akisikiliza maelezo katika banda la Mamlaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), tarehe 15 Machi, 2014.
 Wananchi wa Mkoa wa Tanga wakisikiliza maelezo ya shughuli za Tume walipotembelea banda la FCC katika maonesho ya Siku ya haki za Mlaji Duniani katika viwanja vya Tropikana, Mabawa, Machi 15, 2014.

 Wananchi wa Jiji la Tanga wakipita kwa maandamano katika eneo la Mabanda ya Papa, kuelekea viwanja vya Tropikana Mabawa, katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, yaliyofanyika Kitaifa Jijini humo Machi 15, 2014.
 Wananchi wa Jiji la Tanga wakipita kwa maandamano kuelekea viwanja vya Tropikana Mabawa, katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, yaliyofanyika Kitaifa Jijini humo Machi 15, 2014.

 Wananchi wa Jiji la Tanga wakipita kwa maandamano katika eneo la Mabanda ya Papa, jijini Tanga leo, katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, yaliyofanyika Kitaifa Jijini humo.

 Wananchi wa Jiji la Tanga wakipita kwa maandamano mbele ya Mgeni Rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Halima Dendegu, katika Viwanja vya Tropikana, Mabawa, jijini Tanga leo, katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, yaliyofanyika Kitaifa Jijini humo.
Wasanii wakicheza muziki mahsusi kwa ajili ya kupamba sherehe za kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji katika Viwanja vya Tropikana, Mabawa, leo Machi 15, 2014.
 
No comments:

Post a Comment