Tuesday 25 March 2014

Mdahalo wa Wazi Wapamba Maadhimisho ya Haki za Mlaji Tanga

Mdahalo wa wazi umekuwa kivutio kikubwa katika maadhimisho ya kitaifa ya Haki za Mlaji Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Tropikana,Mabawa, Jijini Tanga. Mdahalo huo uliofanyika siku ya ufunguzi wa maadhimisho hayo, tarehe 13 Machi, 2014, ulihusisha shule na vyuo kadhaa zikiwemo Chuo Kikuu cha Eckenforde, Chuo cha ualimu cha Eckenforde, Shule ya Sekondari ya Popatlal, Chuo cha Biashara cha Mtakatifu Joseph na Shule ya Sekondari ya Usagara.

Wanafunzi hao walionekana kuelewa vema shughuli za mabaraza ya ushauri kwa walaji ya mamlaka za udhibiti lakini wengi wao walijikita katika kujadili masuala yanayohusu usafiri wa abiria mijini (Daladala) na usafiri wa mwisho wa mwaka wa mabasi ya abiria baina ya mikoa.

FCC Seizes Counterfeit NOKIA Mobile Phones in Kariakoo, Dar es Salaam

The Fair Competition Commission has today seized about 154 counterfeited NOKIA Mobile Phones in a Dawn Raid Conducted in two shops which were suspected to stock counterfeited mobile phones of the named brand.

The Dawn Raid operation was conducted in the morning of Tuesday 25th March, 2014 at the Uhuru Round About shops belonging to M/S Shaibu Khamisi and M/S Omari Selemani, in which 20 and 134 pieces were seized respectively.

Fair Competition Commission (FCC) led the operation and worked in collaboration with the Police Force, whereas the International Corporate Research (ICR) Regional Manager for Africa, Mr. Dean Jones supervised the operation.

The consignment is estimated to have a value of TShs. 15m/-.

Pictures of the Dawn Raid Operation have been provided below.

 The Inspection team finalising a search and seizure operational strategy before carrying out the actual Dawn Raid in Kariakoo, today, 25th Marh, 2014, 
  The Inspection team organising groups before carrying out the actual Dawn Raid in Kariakoo, today, 25th Marh, 2014, 
 International Corporate Research (ICR)'s Africa Regional Manager, Mr. Dean Jones along with FCC Officials Police officers (not in uniform), inspecting samples of NOKIA Mobile Phones in Kariakoo, today, 25th March, 2014.

 FCC Officials, Police officers (not in uniform) and ICR representative, inspecting samples of NOKIA Mobile Phones in Kariakoo, today, 25th March, 2014.
 Police officer ensuring that peace is maintained while inspection goes on inside one of the searched shops.
  International Corporate Research (ICR)'s Africa Regional Manager, Mr. Dean Jones along with FCC Officials Police officers (not in uniform), inspecting samples of NOKIA Mobile Phones in Kariakoo, today, 25th March, 2014.
  International Corporate Research (ICR)'s Africa Regional Manager, Mr. Dean Jones inspecting samples of NOKIA Mobile Phones in Kariakoo, today, 25th March, 2014.
 International Corporate Research (ICR)'s Africa Regional Manager, Mr. Dean Jones inspecting samples of NOKIA Mobile Phones in Kariakoo, today, 25th March, 2014.
A consignment of seized mobile phones seized today, 25th March, 2014, awaiting final verification to conformity with NOKIA validation tests.
A consignment of seized mobile phones seized today, 25th March, 2014, awaiting final verification to conformity with NOKIA validation tests.

Saturday 22 March 2014

FCC Destroys Counterfeit Goods

 Counterfeit goods arriving at the destruction site in Vingunguti, on 21st March, 2014.
  Counterfeit VIM Detergents being emptied into a dug pit during destruction exercise in Vingunguti, on 21st March, 2014.

 Counterfeit Sanitary Pads being sliced and put into dug pit ready for burying them during destruction exercise in Vingunguti, on 21st March, 2014.
 Contents of bottles containing counterfeit animal feeds being emptied into the dug pit during destruction exercise in Vingunguti, on 21st March, 2014.
 Counterfeit powdered juice packets being emptied into a dug pit during destruction exercise in Vingunguti, on 21st March, 2014.
 Counterfeit powdered juice packets being emptied into a dug pit during destruction exercise in Vingunguti, on 21st March, 2014.
 Counterfeit "Makhirikhiri" DVDs being smashed into pieces by a hammer during destruction exercise in Vingunguti, on 21st March, 2014.
 Counterfeit SanLG Spare Parts being dismembered by a hammer during destruction exercise in Vingunguti, on 21st March, 2014.

 Counterfeit toothbrushes  being smashed into pieces by a hammer during destruction exercise in Vingunguti, on 21st March, 2014.

 Counterfeit medicated soaps being prepared for crushing during destruction exercise in Vingunguti, on 21st March, 2014.
 Counterfeit medicated soaps being prepared for crushing during destruction exercise in Vingunguti, on 21st March, 2014.

Saturday 15 March 2014

Kilele cha Maahimisho ya Siku ya Haki za Mlaji Kitaifa, Tanga Machi 15, 2014

Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Halima Dendegu, akiwahutubia wananchi wa Mkoa wa Tanga katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, iliyoadhimiwshwa kitaifa katika Viwanja vya Tropikana, Mabawa, Machi 15, 2014
 Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Halima Dendegu, akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa Utetezi wa Mlaji, Utukufu Kyando, katika banda la Tume ya Ushindani katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, iliyoadhimiwshwa kitaifa katika Viwanja vya Tropikana, Mabawa, Machi 15, 2014

 Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Halima Dendegu, akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Baraza la Ushauri kwa Walaji wa Huduma zinazosimamiwa na Mamlaka ya Anga (TCAA-CCC) Bibi Catherine Monarya, kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, iliyoadhimiwshwa kitaifa katika Viwanja vya Tropikana, Mabawa, Machi 15, 2014
 Afisa Mwandamizi, mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa FCC, Frank S. Mdimi (kushoto) akiwaelimisha wananchi wa Mkoa wa Tanga waliofika kutembelea banda la Tume, kuhusu shughuli za Tume hiyo, tarehe 15 Machi, 2014.

  Mgeni Rasmi katika ufungaji wa maadhimisho ya Siku ya Mlaji Duniani, Kitaifa, Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Halima Dendegu (wa pili hulia) akisikiliza maelezo katika banda la Mamlaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), tarehe 15 Machi, 2014.
 Wananchi wa Mkoa wa Tanga wakisikiliza maelezo ya shughuli za Tume walipotembelea banda la FCC katika maonesho ya Siku ya haki za Mlaji Duniani katika viwanja vya Tropikana, Mabawa, Machi 15, 2014.

 Wananchi wa Jiji la Tanga wakipita kwa maandamano katika eneo la Mabanda ya Papa, kuelekea viwanja vya Tropikana Mabawa, katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, yaliyofanyika Kitaifa Jijini humo Machi 15, 2014.
 Wananchi wa Jiji la Tanga wakipita kwa maandamano kuelekea viwanja vya Tropikana Mabawa, katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, yaliyofanyika Kitaifa Jijini humo Machi 15, 2014.

 Wananchi wa Jiji la Tanga wakipita kwa maandamano katika eneo la Mabanda ya Papa, jijini Tanga leo, katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, yaliyofanyika Kitaifa Jijini humo.

 Wananchi wa Jiji la Tanga wakipita kwa maandamano mbele ya Mgeni Rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Halima Dendegu, katika Viwanja vya Tropikana, Mabawa, jijini Tanga leo, katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji, yaliyofanyika Kitaifa Jijini humo.
Wasanii wakicheza muziki mahsusi kwa ajili ya kupamba sherehe za kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji katika Viwanja vya Tropikana, Mabawa, leo Machi 15, 2014.
 
Maadhimisho ya Siku ya Haki za Mlaji Kitaifa Yafikia Kilele Jijini Tanga Leo

Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji Kitaifa yamefikia kilele leo kwa maandamano ya wakazi wa Jiji la Tanga, burudani na hotuba zilizotolewa katika viwanja vya Tropikana Mabawa, Jijini Tanga.

Kilele cha maadhimisho hayo kilitanguliwa na maandamano ya wakazi wa jiji la Tanga walioongozwa na Bendi ya Muziki wa Ala (Brass Band) na kuwahusisha wanafunzi wa Shule za Sekondari za Mikanjuni, Popatlal na Usagara pamoja na Chuo Kikuu cha Eckenforde.

Maandamano hayo yaliyoanzia katika viwanja vya Uhuru Park majira ya saa nne asubuhi, yalipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Halima Dendegu majira ya saa tano asubuhi. Mhe. Dendegu ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho hayo.

Akihutubia katika kilele cha maadhimisho hayo, Mhe. Dendegu alizitaka kampuni za simu kupitia na kurekebisha taratibu na kanuni zao za utendaji ili kuhakikisha kuwa wanazitambua na kuzilinda haki za watumiaji wa simu ili kuwezesha matumizi ya huduma ya mawasiliano ya simu kuwa ya tija. Alisema bils kuzingatia haki za watumiaji wa simu, ni vigumu kupatikana kwa matumizi yenye tija, jambo linaloweza kuathiri ukuaji endelevu wa sekta hiyo nchini. 

Aidha, Mhe. Dendegu aliwataka watumiaji wa simu kubadilisha miondoko na mienendo ya kutumia simu kwa lengo la kuwezesha matumizi mazuri kuzingatiwa ili matumizi hayo yaweze kuwa na tija.

Pamoja na kutoa rai kuhusu matumizi ya simu, Mhe. Dendegu pia aliwataka wananchi kuwa makini wanapokwenda kufanya manunuzi yao sokoni kwa kuhakikisha kuwa wanatimiza wajibu wao kwa kukagua na bidhaa wanazotaka kununua badala ya kuzikimbilia kutokana na urahisi wa bei.  

Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji kwa mwaka 2014 Kitaifa yamebebwa na Kaulimbiu isemayo “Haki za Watumiaji wa Simu Zilindwe”. Kauli mbiu hiyo inalenga kuzitaka Kampuni za Simu kubainisha Haki za Msingi za Watumiaji wa Huduma za Simu na kisha kuweka utaratibu wa kuzilinda haki hizo, hasa ikizingatiwa kuwa maendeleo ya Sayansi na Teknolojia pamoja na Utandawazi, vimesababisha matumizi ya simu hususan za mkononi kuwa makubwa sana ambapo inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilio tano ulimwenguni kote wanatumia huduma ya simu za mkononi.

Friday 14 March 2014

Picha za Maadhimisho ya Siku ya Haki za Mlaji jijini Tanga

Mwananfunzi wa Shule ya Sekondari alichangia mada katika mdahalo wa wazi wa Haki ya Mlaji, Jijini Tanga, Machi 13, 2014

Mwananfunzi Michael R.Mponji, wa Shule ya Sekondari alichangia mada katika mdahalo wa wazi wa Haki ya Mlaji, Jijini Tanga, Machi 13, 2014
Mwananfunzi wa Shule ya Sekondari alichangia mada katika mdahalo wa wazi wa Haki ya Mlaji, Jijini Tanga, Machi 13, 2014
Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa FCC, Frank Mdimi (kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu hoja zilizojitokeza wakati wa mdahalo wa wazi wa kuadhimisha Siku ya Haki za Mlaji Kitaifa, jijini Tanga, Machi 13, 2014.
 Afisa Mwandamizi wa Utetezi wa Mlaji wa FCC, Joshua Msoma, akiwapatia maelezo na vipeperushi wanafunzi walipotembelea Banda la FCC, Machi 13, 2014
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri kwa Watumiaji wa Huduma Zinazodhbitiwa na EWURA, Mhandisi Goodluck Mmari, akifafanua jambo wakati wa mdahalo wa wazi katika viwanja vya Tropikana Mabawa, Tanga, Machi 13, 2014.
 Viongozi wa Serikali ya Mtaa, Eneo la Tropikana, Mabawa wakipata maelezo kuhusu shughuli za FCC kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Tume hiyo, Frank Mdimi (kulia) walipotembelea banda hilo, Machi 14, 2014.
 Wakazi wa Jiji la Tanga wakipata maelezo kuhusu shughuli za FCC kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Tume hiyo, Frank Mdimi (kushoto) walipotembelea banda hilo, Machi 14, 2014.

Thursday 13 March 2014

Picha za Ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Haki za Mlaji Kitaifa Jijini Tanga

 Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Mlaji, Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Salum Mohammed Chima, akisaini kitabu cha wageni katika banda la SUMATRA, huku Afisa Habari wa SUMATRA, Maria Mselem (wa pili kushoto) alipotembelea banda la mamlaka hiyo jijini Tanga, leo Machi 13, 2014.

Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Mlaji, Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Salum Mohammed Chima, akipokea vipeperushi kuhusu shughuli za Tume ya Ushindani kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano na Mahusiano ya Umma wa Tume hiyo, Frank Mdimi, alipotembelea banda la Tume jijini Tanga, leo Machi 13, 2014.
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Salum Mohammed Chima, akisikiliza maelezo ya shughuli za Baraza la Ushauri wa Watumiaji wa Shughuli zinazodhibitiwa wa SUMATRA kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Oscar Kikoyo (wa tatu kushoto kwa Bw, Chima), alipotembelea banda hilo  jijini Tanga, Machi 13, 2014. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri kwa Watumiaji wa Huduma za TCAA, Bw. Juma Fimbo, ambaye ni Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Walaji (TCF) walioandaa maonesho hayo.
Wawakilishi kutoka Mabaraza ya Ushauri kwa Walaji, Mamlaka za Udhibiti, FCC na Vyuo na shule zilizoshiriki katika ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya mlaji kitaifa, wakiwa na mgeni Rasmi, Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Salum Mohammed Chima, wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Mlaji, jijini Tanga, leo, Machi 13, 2014.

Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Mlaji Kitaifa Jijini Tanga, Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Salum Mohammed Chima, akihutubia wakati akifungua maadhimisho hayo leo, Machi 13, 2014.
 Wawakilishi wa asasi zinazoshiriki maonesho ya Siku ya Haki za Mlaji jijini Tanga wakiwa na mgeni Rasmi katika picha ya pamoja leo, Machi 13, 2014.