Mkurugenzi wa Utafiti, Utetezi wa Ushindani na Miungano ya Kampuni,
Allan Mlulla (kulia), akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe.
Magessa Mulongo kufungua Semina ya siku moja ya wadau wa Biashara,
Sheria na Habari kuhusiana na masuala ya Ushindani, Utetezi wa Mlaji na
Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli
ya Kibo Palace tarehe 4 Aprili, 2014.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe.
Magessa Mulongo akizungumza na kufungua Semina ya siku moja ya wadau wa Biashara,
Sheria na Habari kuhusiana na masuala ya Ushindani, Utetezi wa Mlaji na
Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli
ya Kibo Palace tarehe 4 Aprili, 2014.
Washiriki wa semina wakifuatilia kwa makini shughuli ya ufunguzi katika semina ya siku moja ya wadau wa Biashara,

Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua kumbukumbu za matukio wakati wa hafla ya ufunguzi katika semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Washiriki wa Semina wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magessa Mulongo, katika bustani ya Hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha, baada ya ufunguzi katika semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa
mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika hotelini hapo Aprili 4, 2014.

Waandishi wa Habari wakifanya mahojiano na Mkurugenzi wa Utafiti, Utetezi wa Ushindani na Miungano ya Kampuni, Allan Mlulla, katika viwanja vya Hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha katika semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa
mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika hotelini hapo Aprili 4, 2014.
Washiriki wa Semina wakifuatilia mwenendo wa semina wakati wa semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa
mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika katika hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha, tarehe 4 Aprili, 2014.
Mkurugenzi wa Utafiti, Utetezi wa Ushindani na Miungano ya Kampuni, Allan Mlulla, akiwasilisha mada katika semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa
mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Afisa Mwandamizi wa Utetezi wa Ushindani, Alex Mmbaga, akiwasilisha mada katika semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa
mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika katika hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha, tarehe 4 Aprili, 2014.
Mmoja wa washiriki wa Semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia kutoka sekta ya Wanasheria wa kujitegemea wa jijini Arusha, akichangia mada wakati wa semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Mmoja wa washiriki wa Semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji
na udhibiti wa bidhaa bandia, Alphonce Massage, kutoka Alpha Associates (T) Ltd.), akichangia mada wakati wa semina hiyo iliyofanyika
katika ukumbi wa Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Mmoja wa washiriki wa Semina akitoa mchango wake.

Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji wa Ushindani, Shadkrack Nkelebe, akiwasilisha mada wakati wa Semina ya wadau iliyofanyika katka Hotelil ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Afisa Mwandamizi wa Tume ya Ushindani, Celine Mloge, akiwasilisha mada wakati wa Semina ya wadau iliyofanyika katka Hotelil ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Baadhi ya Washiriki wa Semina wakiangalia sampuli za bidhaa bandia wakati wa Semina ya wadau iliyofanyika katka Hotelil ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.

Mshiriki kutoka Asazi za Kiraia, Florentine Senya akichangia mada wakati wa Semina ya wadau iliyofanyika katka Hotelil ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Mshiriki kutoka Chama cha Wenye Biashara za Utalii Mkoani Arusha akichangia mada wakati wa Semina ya wadau iliyofanyika katka Hotelil ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Katibu Mtendai wa TCCIA MKoa wa Arusha, akitoa hotuba ya kufunga mafunzo hayo na kuwahamasisha washiriki kuunda chama cha Utetezi wa Mlaji Mkoani humo chini ya Uratibu wa TCCIA.
No comments:
Post a Comment