Tuesday 1 April 2014

Picha za Semina ya Wadau katika Mkoa wa Manyara, Iliyofanyika Babati, leo Aprili 1, 2014

Mkurugenzi wa Utafiti wa Ushindani, Utetezi na Miungano ya Makampuni, Allan Mlulla (wa pili kulia) akiwa na Mkuu wa Idara ya Ushawishi na Utetezi wa Ushindani, Shadrack Nkelebe (kulia) wakizungumza na waandishi wa habari na kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali wakati wa semina ya wadau kuhusu masuala ya ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia katika hoteli ya White Rose, Babati, leo, April 1, 2014.
Mkurugenzi wa Utafiti wa Ushindani, Utetezi na Miungano ya Makampuni, Allan Mlulla akijibu maswali kutoka kwa wadau wakati wa semina ya wadau kuhusu masuala ya ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia katika hoteli ya White Rose, Babati, leo, April 1, 2014.
 Mshiriki, Julian Qambaita, ambaye ni Katibu Mtendaji wa TCAA, Mkoa wa Manyara, akichangia mada katika semina ya wadau kuhusu masuala ya ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia katika hoteli ya White Rose, Babati, leo, April 1, 2014.
Afisa Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Inspekta Aramu Mkangale kutoka Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, akichangia mada wakati wa semina ya wadau kuhusu masuala ya ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia katika hoteli ya White Rose, Babati, leo, April 1, 2014.

Afisa Biashara wa Mkoa wa Manyara, Bw. Mkwavi Cahagama, akichangia mada wakati wa semina ya wadau kuhusu masuala ya ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia katika hoteli ya White Rose, Babati, leo, April 1, 2014.
Washiriki wakifuatilia mada zinazowasilishwa wakati wa semina ya wadau kuhusu masuala ya ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia katika hoteli ya White Rose, Babati, leo, April 1, 2014.
Mkurugenzi wa Utafiti wa Ushindani, Miungano ya Kampuni na Ushawishi na Utetezi wa Ushindani, Bw. Allan Mlulla, akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali wakati wa  semina ya wadau kuhusu masuala ya ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia katika hoteli ya White Rose, Babati, leo, April 1, 2014.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Deusdedit Nsimeki, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa wadau wa masuala ya ushindani, utetezi wa ushindani na mapambano ya bidhaa bandia, katika kikao kilichofanyika Hoteli ya Wite Rose, Babati, leo, Aprili 1, 2014.
Afisa Mwandamizi wa Utetezi na Ushawishi wa Ushindani, Alex Mmbaga, akiwasilisha mada katika mkutano wa wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia ulifanyika katika hoteli ya White Rose, Babati leo, Aprili 1, 2014.
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Hemedi Mandia, akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao cha wadau katika Hoteli ya White Rose, Babati, leo, Aprili 1, 2014.
Washiriki wa Kikao cha Wadau katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Hemedi Mandia (katikati, walioketi), baada ya ufunguzi wa kikao cha wadau katika Hoteli ya White Rose, Babati, leo, Aprili 1, 2014.

No comments:

Post a Comment