Tuesday, 15 April 2014

Picha za Ziara ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) katika Ofisi za Tume ya Uhsindani Leo Asubuhi

 Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani, Dk. Frederick Ringo akimkaribisha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) katika katika jengo la Ubungo Plaza zilipo ofisi za Tume hiyo, leo Aprili 15, 2014.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) akiweka saini katika kitabu cha wageni katika ofisi za Tume ya Ushindani alipotembelea hapo leo Aprili 15, 2014.Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Sera na Mipango-Bajeti katika Wizara hiyo, Bi. Elizabeth Msengi, aliyeambatana na Naibu Waziri.
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) akipata maelezo ya ujumla kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani, Dk. Frederick Ringo, alipotembelea ofisi za Tume hiyo, Ubungo Plaza, Dar es Salaam, leo Aprili 15/2014.
 Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani, Dk. Frederick Ringo, akisoma Risala fupi na kumkaribisha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) (hayupo pichani) aliyetembelea ofisi za Tume hiyo Aprili 15, 2014.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Ushindani wakisikiliza hotuba wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) (hayupo pichani) alipotembelea ofisi za Tume hiyo Aprili 15, 2014.

 Mkuu wa Idara ya Utetezi wa Mlaji, Martha Kisyombe, akimweleza Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) shughuli za idara hiyo na changamoto zake, wakati waziri huyo alipotembelea ofisi za Tume leo, Aprili 15, 2014.
 Mkuu wa Idara ya Udhibiti wa Bidhaa bandia, John Mponela, akimweleza Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) shughuli za idara hiyo na changamoto zake, wakati waziri huyo alipotembelea ofisi za Tume leo, Aprili 15, 2014.
 Mkuu wa Idara ya Udhibiti wa Bidhaa bandia, John Mponela, akimweleza Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) jinsi ya kutambua bidhaa bandia, wakati waziri huyo alipotembelea ofisi za Tume leo, Aprili 15, 2014. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Dk. Frederick Ringo.
  Mkuu wa Idara ya Udhibiti wa Bidhaa bandia, John Mponela, akimweleza Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) jinsi ya kutambua bidhaa bandia, wakati waziri huyo alipotembelea ofisi za Tume leo, Aprili 15, 2014. 

 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) akizungumza na wafanyakazi wa Tume ya Ushindani alipotembelea ofisi hizo leo, Aprili 15, 2014.
  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB) akizungumza na wafanyakazi wa Tume ya Ushindani alipotembelea ofisi hizo leo, Aprili 15, 2014.
Mkuu wa Idara ya Kudhibiti Bidhaa Bandia, John Mponela, akifafanua jambo wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janeth Mbene (MB)  katika ofisi za Tume ya Ushindani leo, Aprili 15, 2014.

Naibu Waziri wa Viwanda Atembelea FCC na Kuitaka Ifungue Matawi ya Kanda

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Nchini, Mhe. Janeth Mbene (MB) leo alitembelea Tume ya Ushindani ambapo aliitaka Tume hiyo kufungua ofisi za Kanda ili kuweza kuongeza juhudi za kutoa elimu ya mlaji kwa wananchi walio wengi sehemu mbalimbali nchini.

Mhe. Mbene alitoa wito huo baada ya Kupata fursa ya kujifunza kwa vitendo jinsi ya kutofautisha bidhaa bandia na halisi ambapo sampuli zake zilikuwepo katikaukumbi wa mikutano wa Tume hiyo, Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam.

Alisema “Wananchi wengi wa Tanzania tuna tatizo la kupenda kuamini kila tunaloambiwa na wafanyabiashara, hivyo ni vema Tume ikafungua ofisi walau za kanda ili iweze kuongeza kupeleka elimu hii kwa wananchi waweze kuelewa kuwa zipo bidhaa bandia na kuna mienendo potofu katika soko ili waweze kuwa makini zaidi.

Alidha, Mhe. Mbene aliitaka Menejimenti ya Tume kuwasilisha maelezo kuhusu kuongezewa bajeti ili kuwezesha utendaji wenye ufanisi wa chombo hicho ambacho kina wajibu wa kusimamia utendaji wa uchumi wa soko.

Waziri Mbene pia alipokea maoni ya Tume ya Ushindani kuhusu umuhimu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuanzisha Sheria za kusimamia na kudhibiti kusambaa kwa bidhaa bandia ambapo ilibainika kuwa kuna kiasi kikubwa cha bidhaa zinazoshukiwa kuwa ama ni bandia au zipo chini ya kiwango zinazoingizwa Tanzania bara kutoka Tanzania Vsiwani kwa njia za magendo.

Aliitaka Tume ya Ushindani kuwasilisha mapendekezo yake kwake ili aweze kuona namna bora ya kuwasilisha ushauri huo Seikalini.

Waziri Mbene pia aliitaka Tume ifanye kazi kwa kushirikiana kwa karibu na vyombo vinavyofanya shughuli zinazoshabihiana nazo akibainisha Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ambazo pia zinafanya kazi za kumlinda mlaji.

Katika ziara hiyo Waziri Mbene aliambatana na Mkurugenzi Msaidizi wa Sera na Mipango-Bajeti, Bibi Elizabeth Msengi, Afisa Habari, Edward Nkomola na Katibu wake, Athumani Nkhungu. 

Akimaribisha Waziri Mbene katika Tume Mkurugenzi Mkuu wa Tume hiyo, Dk. Frederick Ringo alielezea kuwa shughuli za Tume hiyo zinashindwa kukamilika kwa ufanisi kutokana na ufinyu wa bajeti na kuelezea umuhimu wa Serikali kuipatia Tume hiyo fungu la kutosha la bajeti ya utendaji wa shughuli zake.

Kabla ya ukaribisho wa Dk. Ringo kwa Naibu Waziri, Mkuu wa Idara ya Utetezi wa Mlaji, Martha Kisyombe, alielezea kwa kifupi shughuli za idara hiyo huku akibainisha changamoto inayowakabili ya namna ya kutatua kero za mlaji kwa kutumia njia ya mahakama. Bi. Kisyombe alisema kuwa katika mapendekezo ya marekebisho ya Sheria, Tume ya Ushindani inatarajia kutumia mbinu za Taratibu Mbadala za Utanzuajij wa Migogoro baina ya walaji na wafanyabiashara (Alternative Dispute Resolution -ADR) ili kuharakisha utanziaji wa migogoro hiyo na kupunguza muda mwingi wanaopoteza wamaji katika kutanzua mashauri madogo madogo katika mahakama za kawaida.

Aidha, Mkuu wa Idara ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia, John Mponela, alieleza kuwa Tume imeendelea kufanya kaguzi mbalimbali katika maingilio makuu ya bidhaa nchini (Bandar ya Dar es Salaam na Vitengo Mahsusi vya Makontena), pamoja na madukani na mikoani kubaini na kukamata bidhaa bandia zinazoingizwa nchini kinyume cha Sheria ya Alama za Bidhaa ya mwaka 1963, iliyorekebishwa.

Alieleza kuwa kwa sasa Tume inakabiliwa na changamoto kubwa ya kukosekana kwa Sheria ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia katika Tanzania Visiwani, jambo ambalo limesabaisha shehena kubwa ya bidhaa zinzohofiwa kuwa ni bandia kuingizwa Tanzania bara kwa njia zisizo rasmi ambapo hazilipiwi ushuru stahiki na zinasababisha ushindani katika soko kutokuwa katika mizania sawa.

Saturday, 5 April 2014

Picha za Semina ya Wadau wa Ushindani, Utetezi wa Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika Hoteli ya Kibo Palace Aprili 4, 2014

Mkurugenzi wa Utafiti, Utetezi wa Ushindani na Miungano ya Kampuni, Allan Mlulla (kulia), akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magessa Mulongo (kushoto), kuelekea kwenye ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Kibo Palace tarehe 4 Aprili, 2014, ambapo Mkuu wa Mkoa alikuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufunguzi wa semina ya FCC na wadau wa Biashara, Sheria na Habari kuhusiana na masuala ya Ushindani, Utetezi wa Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia.
Mkurugenzi wa Utafiti, Utetezi wa Ushindani na Miungano ya Kampuni, Allan Mlulla (kulia), akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magessa Mulongo kufungua Semina ya siku moja ya wadau wa Biashara, Sheria na Habari kuhusiana na masuala ya Ushindani, Utetezi wa Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Kibo Palace tarehe 4 Aprili, 2014. 
 
 Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magessa Mulongo akizungumza na kufungua Semina ya siku moja ya wadau wa Biashara, Sheria na Habari kuhusiana na masuala ya Ushindani, Utetezi wa Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Kibo Palace tarehe 4 Aprili, 2014.

 Washiriki wa semina wakifuatilia kwa makini shughuli ya ufunguzi katika semina ya siku moja ya wadau wa Biashara, Sheria na Habari kuhusiana na masuala ya Ushindani, Utetezi wa Mlaji na Udhibiti wa Bidhaa Bandia iliyofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Kibo Palace tarehe 4 Aprili, 2014. 

Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua kumbukumbu za matukio wakati wa hafla ya ufunguzi katika semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Washiriki wa Semina wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magessa Mulongo, katika bustani ya Hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha, baada ya ufunguzi katika semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika hotelini hapo Aprili 4, 2014.

Waandishi wa Habari wakifanya mahojiano na Mkurugenzi wa Utafiti, Utetezi wa Ushindani na Miungano ya Kampuni, Allan Mlulla, katika viwanja vya Hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha katika semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika hotelini hapo Aprili 4, 2014.
Washiriki wa Semina wakifuatilia mwenendo wa semina wakati wa semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika katika hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha, tarehe 4 Aprili, 2014.
Mkurugenzi wa Utafiti, Utetezi wa Ushindani na Miungano ya Kampuni, Allan Mlulla, akiwasilisha mada katika semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.

Afisa Mwandamizi wa Utetezi wa Ushindani, Alex Mmbaga, akiwasilisha mada katika semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia iliyofanyika katika hoteli ya Kibo Palace, jijini Arusha, tarehe 4 Aprili, 2014.
Mmoja wa washiriki wa Semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia kutoka sekta ya Wanasheria wa kujitegemea wa jijini Arusha, akichangia mada wakati wa semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Mmoja wa washiriki wa Semina ya wadau wa ushindani, utetezi wa mlaji na udhibiti wa bidhaa bandia, Alphonce Massage, kutoka Alpha Associates (T) Ltd.), akichangia mada wakati wa semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Mmoja wa washiriki wa Semina akitoa mchango wake.

Mmoja wa washiriki wa Semina akitoa mchango wake.

Mmoja wa washiriki wa Semina akitoa mchango wake.

Mmoja wa washiriki wa Semina akitoa mchango wake.

Mmoja wa washiriki wa Semina akitoa mchango wake.

Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji wa Ushindani, Shadkrack Nkelebe, akiwasilisha mada wakati wa Semina ya wadau iliyofanyika katka Hotelil ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Afisa Mwandamizi wa Tume ya Ushindani, Celine Mloge, akiwasilisha mada wakati wa Semina ya wadau iliyofanyika katka Hotelil ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Baadhi ya Washiriki wa Semina wakiangalia sampuli za bidhaa bandia wakati wa Semina ya wadau iliyofanyika katka Hotelil ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.

Mshiriki kutoka Asazi za Kiraia, Florentine Senya akichangia mada wakati wa Semina ya wadau iliyofanyika katka Hotelil ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Mshiriki kutoka Chama cha Wenye Biashara za Utalii Mkoani Arusha akichangia mada wakati wa Semina ya wadau iliyofanyika katka Hotelil ya Kibo Palace, jijini Arusha, Aprili 4, 2014.
Katibu Mtendai wa TCCIA MKoa wa Arusha, akitoa hotuba ya kufunga mafunzo hayo na kuwahamasisha washiriki kuunda chama cha Utetezi wa Mlaji Mkoani humo chini ya Uratibu wa TCCIA.